HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
index

ANANIA NGOLIGA NA JOHN KITIME WATAMBULISHA AINA NYIGINE YA MUZIKI-cheki video

Kwa mara ya kwanza video hii imetolewa hadharani ikionyesha staili hii nyingine ya muziki wa hawa watu wawili. Tayari wamekwisha fanya maonyesho ya kazi yao Marekani, katika toue mbili zilizochukua jumla ya miezi miwili, na pia kufanya onyesho moja Mumbai India …enjoy kwa maswali wasiliana kupitia [email protected] au

angalia www.ananiajohn.blogspot.com
Leave a Reply

Your email address will not be published.