full screen background image
John

NJenje Arusha

Ijumaa 20 May  wanachama wa TAPSEA walipata nafasi ya kupata burudani toka kwa Kilimanjaro Band, katika ukumbi wa AICC Arusha.  Mduara ulipigwa na nyonga...

Njenje kuwa Arusha Ijumaa 20 May, Private Function

Bendi yenu ya Kilimanjaro Band itakuwa Arusha Ijumaa 20 May 2011, kwa show ya siku moja katika ‘private function ‘. Jumamosi jukwaani Salender Bridge as...

Kachiri kachiri

Jumamosi Njenje raha tele kukosa ni kosa

Kitime wa Man U, Waziri wa Njenje, Babu Njenje Mgongo huu ni wa Musa Masharubu Khaleed na filimbi!!!!!!!! Keppy Kiombile on Bass, Kanku Kelly the master trumpetist...

Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo kukutana wasanii

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dr. Emmanuel Nchimbi (Mb), atakutana na wasanii katika ukumbi wa BASATA kuanzia tarehe 17 Mei na tarehe 18 Mei, 2011....

Nyonga kutoka Mombasa

Mashindano ya Chakacha huko Mombasa, nikiangalia naona aliyeshinda angekuja Jumamosi yoyote Njenje asingeona ndani, halafu watu hapa wala hawajaamua kushindana...

MAZOEZI YA ALBUM MPYA

MAZOEZI KWA AJILI YA ALBUM MPYA YANAENDELE KWA NGUVU SANA

Nyoka huyo hana kiuno……….mhhhhhhh

Njenje katika mazoezi ya kurekodi album mpya

Kilimanjaro Band imeanza mazoezi makali ya kurekodi album yao ya tano. Album zao za awali ni Katakata, Maua, Kinyaunyau, na Gere.Kati ya Nyimbo zitakazo kuwemo katika...

Njenje ilipofanya ziara ya UK 2004

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com