HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
John

5160985_photolol_jpeg40d0559e51ab73fc07961e7bef021b09

KANISA LA KUONDOA PEPO WACHAFU KWA BIA LASHAMIRI KONGO

  KWA kweli duniani kuna mambo, kumekuweko na makanisa mengi yanaanzishwa kila siku na kila moja viongozi wake wakinadi kuwa wao ndio njia sahihi, kali imeanza huko...

_95655456_51594375-2bbe-48d2-b478-0425f16a2884

BINADAMU MZEE KULIKO WOTE AFARIKI AKIWA NA MIAKA 117

MTU mzee kuliko wote duniani amefariki jana huko Italia, alikuwa na umri wa miaka 117. Emma Morano alizaliwa tarehe 29 Novemba 1899, katika mkoa wa Piedmont, Italia....

8ae847ae743c4e339cee9b37e1831704_18

MAANDAMANO YA KUTAKA RAIS ZUMA ANG’OKE YAPAMBA MOTO

MAELFU ya waandamanaji wamejikusanya katika jiji la Pretoria Afrika ya Kusini wakishinikiza Rais Jacob Zuma aachie madaraka. Maandamano hayo yamefanyika kwa kushirikiana...

cc

MSICHANA AJITOSA BAHARINI MELI IKIELEKEA ZANZIBAR

MSICHANA  mmoja ambaye jina lake halikupatikana mchana wa leo alijitosa baharini kaika lililoonekana kama jaribio la kujiua. Jitihada ya wananchi walioogelea na kuweza...

suspense1

WAKUJA ADAI FEDHA ALIYONUNULIA DAWA YA MAPENZI

Jana nimepita nacheka kwenye mitaa ya kwetu, watu wengine wakawa wananiangalia kwa jicho la kujiuliza, najua walikuwa wakidhani nimevuta moshi wa kitu kilichopigwa...

chuck-berry-new-album-news-2a7vc3dn

MAGWIJI HAWA WAMETUTOKA LAKINI KAZI ZAO ZINAISHI

KILA JUMAMOSI MAKALA KAMA HII HUTOKA KATIKA GAZETI LA MWANANCH… USIKOSE Mwaka 2017 umeanza kwa matukio ya huzuni katika tasnia ya muziki wa dansi. Wanamuziki...

Safari Trippers at their best

IMETIMIA MIAKA 22 TOKA KIFO CHA NGULI MARIJANI RAJABU

  ALHAMISI, Machi 23 mwaka 1995 ni siku isiyosahaulika kwa wapenzi wa muziki wa zamani nchini. Siku hiyo ndipo tulipompoteza mwanamuziki kipenzi chetu, Marijani...

WhatsApp-logo

BABA RUDI NYUMBANI UPESI

DOGO: (Kampigia simu baba yake) Baba rudi nyumbani upesi BABA: Dogo niko bizi nina mkutano na JPM baada ya robo saa DOGO: Haya shauri yako mama anasoma mesej zako za...

Marijuana-Inhale-Effect--98084

MKASA ULIOMKUTA MWANAFUNZI ALIYEVUTA BANGI SAA NNE ASUBUHI

Kutumia dawa za kulevya sio ujanja kabisaaa. Ni mtego ambao ukiingia kutoka sio rahisi. Dawa za kulevya zina haribu kabisa taratibu za maisha, vijana wengi hawataweza...

busara-222-559x520

TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA LAREJEA KWA KISHINDO KIKUU

Baada ya ukimya wa mwaka mmoja bila tamasha la muziki pendwa la Zanzibar, Tamasha la Sauti za Busara 2017 limerejea kwa kishido ambapo band 40 na wasanii zaidi ya 400...