HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
WhatsApp-logo

BABA RUDI NYUMBANI UPESI

WhatsApp-logoDOGO: (Kampigia simu baba yake) Baba rudi nyumbani upesi

BABA: Dogo niko bizi nina mkutano na JPM baada ya robo saa

DOGO: Haya shauri yako mama anasoma mesej zako za whatsapp kwenye simu yako
Leave a Reply

Your email address will not be published.