full screen background image

Category: MUSIC ONCE UPON A TIME

chuck-berry-new-album-news-2a7vc3dn

MAGWIJI HAWA WAMETUTOKA LAKINI KAZI ZAO ZINAISHI

KILA JUMAMOSI MAKALA KAMA HII HUTOKA KATIKA GAZETI LA MWANANCH… USIKOSE Mwaka 2017 umeanza kwa matukio ya huzuni katika tasnia ya muziki wa dansi. Wanamuziki...

Safari Trippers at their best

IMETIMIA MIAKA 22 TOKA KIFO CHA NGULI MARIJANI RAJABU

  ALHAMISI, Machi 23 mwaka 1995 ni siku isiyosahaulika kwa wapenzi wa muziki wa zamani nchini. Siku hiyo ndipo tulipompoteza mwanamuziki kipenzi chetu, Marijani...

profile01pux

JAMII YA MUZIKI AFRIKA YATIMIZA MIAKA MITATU BILA TABU LEY

IMokolo mosusu ngai nakanisi Naloti lokola ngai nakolala aah mama Mokolo nakokufa Mokolo nakokufa, nani akolela ngai ? Nakoyeba te o tika namilela. Liwa ya zamba soki...

kungubaya

RAJABU KUNGUBAYA APOKEA MGUU BANDIA TOKA GROUP LA WHATSAPP LA ZAMAZILE

  Marehemu Omary Kungubaya Rajabu Kungubaya Rajabu Omary Kungubaya, mtoto wa marehemu Omary Kungubaya, mwanamuziki ambaye alipata umaarufu kutokana na wimbo wake wa...

img_0013

TAARIFA YA MSIBA…MZEE KUNGUBAYA HATUNAE TENA

MZEE Omari Kungubaya ambaye atakumbukwa kwa wimbo wake Salam za wagonjwa, wimbo uliokuwa ukiashiria kuanza na kuisha kwa kipindi cha salamu za wagonjwa kupitia Radio...

chr

TANGA MJI MUHIMU KATIKA HISTORIA YA MUZIKI WA DANSI

Wiki hii nilipata bahati ya kutembelea mji wa Tanga, mji ambao sifa zake zilianza kusikika kuanzia enzi za utawala wa Wajerumani, jiji ambalo shule ya kwanza ya serikali...

MMGL2229

TUIMBE WOTE NYIMBO KASHASHA YA TANCUT ALMASI ORCHESTRA

KASHASHA– Mtunzi Kyanga Songa Bendi – TANCUT Almasi Orchestra Waimbaji- Kyanga Songa Kasaloo Kyanga, Mohamed Shaweji, Hashim kasanga Solo: Shaaban Yohana ...

blackstar-luckystar

BI SHAKILA HATUNAE TENA, ALIANZA KUIMBA AKIWA NA MIAKA 6

Bi Shakila Tatu Said Msengi muimbaji maarufu wa Taarab, hatunae tena. Jioni leo ameanguka ghafla na alipokimbizwa hospitali moja jirani na kwake Mbagala Charambe...

228

SHORT HISTORY OF THE GREAT MARIJANI RAJABU

On 3rd March 1955 in Kariakoo a child was born and given the name Marijani. The child’s mother was a housewife and the father Mzee Rajabu worked at a printing press....

afro70 BAND

ITS 12 YEARS SINCE THE DEATH OF THE GREAT PATRICK BALISIDYA

Its twelve years this week since the death of Patrick Pama Balisdya one of the best musicians Tanzania has ever had. Patrick was born in Mvumi village in Dodoma District...

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com