HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM

Category: Hot news

ngorongoro

UNESCO YASHAURI WANANCHI KUTEMBELEA SEHEMU ZA URITHI WA DUNIA ILI KUZIENZI

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Bi. Irina Bokova, katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, ametaka wananchi mbalimbali kutenga muda binafsi na kutembelea moja ya...

pic+ndesamburo+dsie

KINACHOENDELEA MSIBA WA MBUNGE MSTAAFU WA JIMBO LA MOSHI MJINI PHILEMONI NDESAMBURO.

Nyumbani kwa Marehemu Mzee Philemoni Ndesamburo aliyefariki dunia jana katika  mjini Moshi.                       Picha na maelezo na Dixon Busagaga wa Globu...

ford-ranger-eu-FordRanger2016_IAA_Ranger_Wildtrak_004_GTB_2-16x9-2160x1215-ol-ranger-wildtrak.jpg.renditions.extra-large

NILIPOKARIBISHWA KAHAWA SHOWROOM YA MAGARI YA FORD

Leo nimepata bahati kubwa sana nimekaribishwa katika duka la kuuza magari aina ya Ford lililoko Mtaa wa Maktaba Dar es Salaam, nimekaribishwa kikombe cha kahawa ya...

1

RAIS DKT. MAGUFULI AIFUTA MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU CDA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

      . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji...

newspaper

MAGAZETI 9 MAY 2017

                                               ...

IMG_20170417_170700

MKUU WA WILAYA YA IRINGA AWAJIA JUU WAHARIBIFU WA UOTO ASILI

Wananchi mjini Iringa wakiendelea kufyeka miti kuandaa maeneo ya biashara Na Fredy Mgunda, Iringa Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amemtaka Mkurugenzi wa...

170416184021-north-korea-military-parade-op-ed-07-super-169

KOREA KASKAZINI YAONYA KUHUSU UWEZEKANO WA VITA

BALOZI wa Korea kaskazini kwenye Umoja wa Mataifa, ameionya Marekani iache mchezo wake wa kuitishia vita nchi yake kila mara na ameonya kuwa kuna uwezekano wa vita ya...

_95655456_51594375-2bbe-48d2-b478-0425f16a2884

BINADAMU MZEE KULIKO WOTE AFARIKI AKIWA NA MIAKA 117

MTU mzee kuliko wote duniani amefariki jana huko Italia, alikuwa na umri wa miaka 117. Emma Morano alizaliwa tarehe 29 Novemba 1899, katika mkoa wa Piedmont, Italia....

1

MWALIMU AFARIKI KATIKATI YA MKUTANO WA CHAMA CHA WAALIMU TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwalimu Tuhobwike Mwinuka Mwakatumbula enzi za uhai wake.    Jeneza lenye mwili wa mwalimu Tuhobwike Mwinuka Mwakatumbula likiwa ndani ya Kanisa la Kiinjili la...

PRESIDENT ELECT

MPINZANI ASHINDA UCHAGUZI GAMBIA

UCHAGUZI katika nchi ya Gambia umemalizika na Adama Barrow aliyeteuliwa na upinzani kugombea Urais wa nchi hiyo ameshinda uchaguzi kwa kumzidi Rais aliyekuwa madarakani...