ISIMILA FESTIVAL


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM

Category: Taarifa za Habari

1

RAIS JOHN P MAGUFULI ALIPOWASILI DODOMA JANA JUMATATU

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma....

C-AYMEuXsAEAA-r

MASHINDANO YA MAGARI YA MKWAWA RALLY OF IRINGA 2017 YAISHA KWA KISHINDO

  Washindi wa kwanza Gerald Miller na Peter Fox Babu Gerald Miller na Peter Fox, madreva wazoefu wa mashindano ya magari, wakiwa wanatumia gari aina ya Mitsubishi...

8ae847ae743c4e339cee9b37e1831704_18

MAANDAMANO YA KUTAKA RAIS ZUMA ANG’OKE YAPAMBA MOTO

MAELFU ya waandamanaji wamejikusanya katika jiji la Pretoria Afrika ya Kusini wakishinikiza Rais Jacob Zuma aachie madaraka. Maandamano hayo yamefanyika kwa kushirikiana...

cc

MSICHANA AJITOSA BAHARINI MELI IKIELEKEA ZANZIBAR

MSICHANA  mmoja ambaye jina lake halikupatikana mchana wa leo alijitosa baharini kaika lililoonekana kama jaribio la kujiua. Jitihada ya wananchi walioogelea na kuweza...

proxy

UN DELEGATES TO VISIT UN SUPPORTED PROGRAMS IN DAR ES SALAAM DODOMA AND KIGOMA

  The Nordic countries (Sweden, Norway, Denmark, Finland and Iceland) are key donors and partners of the United Nations system globally, regionally and at country...

proxy

Dk. Kigwangalla akutana na balozi wa Korea kujadili kuhusu Hospitali ya Mlonganzira

Dk. Kigwangalla akutana na balozi wa Korea kujadili kuhusu Hospitali ya Mlonganzira na ujio wa mobile clinic Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa na urafiki na Korea na...

IMG_0549

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI

Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga ambaye alisababisha wabunge wanawake wa upinzani kutoka bungeni wiki iliyopita kwa madai ya kuwadhalilisha,akichangia hoja...

Screen+Shot+2016-05-09+at+10.42.45+AM

ANKAL MICHUZI AFIWA NA MWANAE

Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.   Mipango ya...

NewspaperDecline

VYOMBO VYA HABARI ASILIA HASA MAGAZETI, VINAKUFA POLEPOLE ZAMA HIZI ZA DIJITALI

Vyombo vya habari vya asilia hususan magazeti vinakufa. Hivi sasa vvyombo hivyo vinajikongoja kutokana na  mauzo hafifu  na mdororo wa mapato kutoka matangazo na...

IMG_1241

MATUKIO BUNGENI DODOMA

Wabunge wakiingia bungeni mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Wabunge wakijadiliana jambo ndani bunge Wabunge wakipata habari kupitia...