full screen background image

Category: Sanaa-THE ARTS

IMG-20170804-WA0004

MWANAMUZIKI MPYA WA MUZIKI WA INJILI, ANA UMRI WA MIAKA 5

Baby Nito ni mtoto wa miaka mitano. Mama yake Natasha Maige Lisimo ni muimbaji wa muda mrefu anaejulikana zaidi kwa jina la Kadjanito. Huu ni wimbo wake wa kwanza...

IMG-20170803-WA0070

DEXTEROUS KITCHEN MABINGWA WA KUTENGENEZA KEKI

KWA  wale waliosoma Highland mwaka 1991, 1992 watamkumbuka Celine. Alikuwa akiishi Wilolesi. Kwa sasa Celine ni bingwa wa kutengeneza keki zenye mvuto katika macho na...

p0344sg0

MALKIA VANESSA MDEE AFANYA KAZI NA MFALME PETER WA P SQUARE

Mara baada ya kumaliza kushiriki kuigiza kwa mara ya kwanza katika katika tamthiliya  ya MTV, inayoitwa SHUGA,Vanessa Mdee ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Kisela....

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

UBALOZI WA MAREKANI WAINGIA MAKUBALIANO NA ZIFF

U.S. Chargèd’Affaires Virginia Blaser and ZIFF Director Fabrizio Colombo LEO tarehe 17 May 2017, Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, umetiliana saini ushirikiano na...

busara-222-559x520

TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA LAREJEA KWA KISHINDO KIKUU

Baada ya ukimya wa mwaka mmoja bila tamasha la muziki pendwa la Zanzibar, Tamasha la Sauti za Busara 2017 limerejea kwa kishido ambapo band 40 na wasanii zaidi ya 400...

images

MUZIKI NA MADAWA YA KULEVYA

Katika siku za karibuni kumefumuka heka heka za kutafuta njia ya kundokana na baa la dawa za kulevya. Katika vurugu hizo majina ya wasanii kadhaa yamejitokeza, mengi...

17

MCHANGO WA SERIKALI UWAPI KATIKA KUKUZA NA KUENDELEZA SANAA?

Nilikuwa naangalia filamu moja ya vichekesho ya Kinaijeria, katika filamu hii kulikuwa na familia yenye watoto wawili watukutu sana. Ikafikia baba kuanza kudai kuwa...

15726401_10154254583708511_8613682245086294177_n

A GREAT MUSIC EVENT TODAY AT KING SOLOMON’S HALL NAMANGA

Utakosaje? Tiketi zinapatikana sasa EATERS POINT Namanga na Masaki. Tiketi za VIP Zimebaki chache. Pia tiketi zitauzwa mlangoni kuanzia saa mbili usiku. Njoo usikilize...

UPINZANI KATIKA MUZIKI UKITUMIWA VYEMA HUENDELEZA MUZIKI

Leo hii neno Bif katika tasnia ya muziki ni neno la kawaida sana. Neno hili limetoka Marekani wenyewe huliita ‘Beef’ likiwa na maana chuki kali kutoka ndani ya moyo....

ROYALs

Mkataba wa Kumkodisha Msanii, Mwanamuziki au Mwimbaji Msindikizaji kwa ajili ya Onesho la moja kwa Moja (LIVE).

KILA SIKU WANAMUZIKI WANAFANYA KAZI ZA KUFANYA MAONYESHO, JE UNAJUA KUWA NI LAZIMA UPATE MKATABA? JE UNAJUA KUWA LAZIMA KUWEKO NA MKATABA TOFAUTI KWA KAZI YAKO...

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com