full screen background image
Afrimma-2015-1024x1024-e1437455343630-2zj7lhz5vuqd14q2grnk0a

DIAMOND AZOA TUZO NYINGI AFRIMMA 2015

diaDiamond Vannessa Mdee na Ommy Dimpoz wameweka historia kwa maisha yao, nay a muziki wa Tanzania kwa kushinda Tuzo katika Afrimma Awards 2015, zilizofanyika Dallas Marekani leo.

Diamond akiwa ameshinda tuzo 3 zikiwemo Best Dance Video- Nana, Best Male Artists East Africa, na Artiste of the Year

Vannesa Mdee akachukua Tuzo ya Best Female Artists East Africa.

Ommy Dimpoz akishinda tuzo ya Best Newcomer> Diamond amkuwa katika tuzo jingine kutokana na wimbo alioshirikiana na Mnaijeria Tiwa Savege, hivyo kupata tuzo ya Best Inspiration Song

Hongera kwa wote

Best Male – East Africa

 • Eddy Kenzo (Uganda)
 • Jaguar (Kenya)
 • Diamond Platnumz (Tanzania)
 • Bebe Cool (Uganda)
 • Jackie Gosse (Ethiopia)
 • Ali Kiba (Tanzania)
 • Dynamq (Sudan)

Best Female – East Africa

 • Khadija Kopa (Tanzania)
 • Aster Aweke (Ethiopia)
 • Victoria Kimani (Kenya)
 • Vanessa Mdee (Tanzania)
 • Juliana Kanyamozi (Uganda)
 • STL (Kenya)
 • Irene Ntale (Uganda)

vannessa

Best Newcomer

 • Kiss Daniel (Nigeria)
 • Pappy Kojo (Ghana)
 • Korede Bello (Nigeria)
 • Lil Kesh (Nigeria)
 • Mz Vee (Ghana)
 • Fabregas (Congo)
 • Ommy Dimpoz (Tanzania)
 • Bebi Philip (Ivory Coast)
 • mpata Wapi’ (Tanzania)
 • Sauti Sol – ‘Sura Yako’ (Kenya)
 • Cassper Nyovest – ‘Doc Shabaleza’ (South Africa)
 • ommy

Artist of the Year

 • Flavour (Nigeria)
 • Diamond Platnumz (Tanzania)
 • Sarkodie (Ghana)
 • Cassper Nyovest (South Africa)
 • Davido (Nigeria)
 • Fally Ipupa (Congo)
 • Eddy Kenzo (Uganda)
 • Wizkid (Nigeria)
 • Yemi Alade (Nigeria)
 • Bucie (South Africa)

Inspirational Song

 • Bracket ft. Diamond & Tiwa Savage – ‘Alive’ (Nigeria & Tanzania)
 • Irene Ntale – ‘Woman’ (Uganda)
 • Sarkodie ft. Castro – ‘Adonai’ (Ghana)
 • Jose Chameleon – ‘Bwerere’ (Uganda)
 • Psquare ft. Dave Scott – ‘Bring it On’ (Nigeria)
 • Eddy Kenzo – ‘Be Happy’ (Uganda)

 
Leave a Reply

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
%d bloggers like this: