full screen background image
jhiko21

JHIKOMAN & PEETAH MORGAN WATOA WIMBO WA PAMOJA…… AFRIKA ARISE

jhiko21

JHIKOMAN

peetah

PEETAH

Msanii ambaye ni wazi ndie aliyeshika bango la muziki wa reggae katika nchi ya Tanzania,, ameongeza ngazi nyingine katika ubora wake kwa kutoa wimbo ambao kashirikiana na mwanamuziki maarufu wa reggae Peetah Morgan. Peetah Morgan ni mwanamuziki mmoja wapo wa kundi la Morgan Heritage, ambayo ilikuwa bendi ya reggae iliyotengezwa mwaka 1994. Bendi iliyoanzishwa na watoto watano wa mwana reggae mkongwe Denroy Morgan. Watoto hao walikuwa Peter “Peetah” Morgan, Una Morgan, Roy “Gramps” Morgan, Nakhamyah “Lukes” Morgan na Memmalatel “Mr. Mojo” Morgan. Katika miongo miwili kundi hili limeshatoa album kadhaa zilizotamba. Kwa anaetaka kupata wimbo huu Afrika Arise aingie katika link zifuatazo www.jhikoman.com na https://itunes.apple.com/us/album/afrika-arise-single/id955986684 unaweza kuupata wimbo huu katika Amazon a iTunes. Usikose nakala
Leave a Reply

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
%d bloggers like this: