HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
cc

MSICHANA AJITOSA BAHARINI MELI IKIELEKEA ZANZIBAR

MSICHANA  mmoja ambaye jina lake halikupatikana mchana wa leo alijitosa baharini kaika
lililoonekana kama jaribio la kujiua. Jitihada ya wananchi walioogelea na kuweza kumuokoa  kabla hajazama ndizo zilizomnusuru. Mpaka sasa haijajulikana sababu ya kitendo hicho.

 
Leave a Reply

Your email address will not be published.