full screen background image
Vanessa

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI VANESSA LABAN KUACHIA ALABUM YAKE

 

 Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Vanessa Laban, kutoka jiji la Mwanza, anatarajia kuachia Album yake mpya iitwayo “Sifa Zivume” Albam hiyo inasambazwa na Kampuni ya Vipaji Entertainment inayosimamiwa na Maganga Gwensaga, ambae ni Meneja wa Kituo cha Radio cha HHC Alive cha Jijini Mwanza.
Bonyeza HAPA Au Play Hapo Chini Kusikiliza Wimbo uitwayo “Ni Kwa Neema” ulioimbwa na Vanessa Laban.
One thought on “MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI VANESSA LABAN KUACHIA ALABUM YAKE

Leave a Reply

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
%d bloggers like this: