full screen background image
IMG-20170810-WA0035

NATASHA LISIMO AJA NA WIMBO MPYA WA GOSPEL – UFUNGUO

 

 

 

Natasha Maige Lisimo aja na kibao cha muziki wa Enjili kiitwacho Ufunguo. Wimbo huu ulioandikwa na Tresor Lisimo, umewekwa melody na Bahati Bukuku, wakati yeye Natasha akiimba kwa sauti yake tamu. Mchanganyiko huu mtamu usikilize kwa amara ya kwanza hapa.
Leave a Reply

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
%d bloggers like this: