HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
othmmkck

NIWATAARIFU MOCHWARI?

Jamaa alikuwa anafanya kazi mochwari, siku hiyo akaamka na bonge ya homa, akaenda na mkewe hospitali  ya jirani, wakati anapimwa na nesi, mkewe akaona itakuwa vizuri kutaarifu kazini kwake kuwa anaumwa akamuuliza mumewe;

MKE: Vipi mume wangu niwataarifu mochwari?

NESI: He mwanamke una roho mbaya wewe, ondoa uchuro mume wako haumwi kiviiile
Leave a Reply

Your email address will not be published.