HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
Gitaa la ajabu

NJENJE YANUNUA GITAA LA AJABU

Gitaa la ajabuGitaa hili la ajabu ambalo unaweza kulibomoa vipandevipande na kuwa dogo kuweza kukunja na kutembea nalo. Pia unaweza kufanya mazoezi kwa kutumia headphone bila mtu mwingine kulisikia. Gitaa hili lilianza kutumika siku ya Idd Mosi.

Mohamed Mrisho akiwa na Gitaa hili la ajabu

Mohamed Mrisho akiwa na Gitaa hili la ajabu

 
Leave a Reply

Your email address will not be published.