HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
Okada-4-448x336

NYIE WABONGO WENZANGU MSILIPE NAULI

Okada-4-448x336

Dreva wa Bodaboda kapata abiria wawili, akawapakia mshkaki wakiwa njiani abiria wakaanza mazungumzo,

ABIRIA 1: Hivi kwenye pisto yako zimebaki risasi ngapi?

ABIRIA 2: Zimebaki 5

ABIRIA 1: Acha uhuni we unajua risasi bei mbaya, umepeleka wapi risasi moja?

ABIRIA 2: Si unakumbuka yule dereva wa bodaboda mbishi si ililazimika nimtwange risasi nyingine ya ziada…(wakati huu dereva wa bodaboda alikuwa anakaribiwa kuchafua suruali). Akawafikisha abiria wake walipotaka kufika, walipotaka kumpa nauli akawajibu huku akichekacheka

DEREVA: Msiwe na wasi wasi tunasaidiana, sisi wote ni Wabongo karibuni tena, nyie nendeni tu
Leave a Reply

Your email address will not be published.