HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
1

RAIS DKT. MAGUFULI AIFUTA MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU CDA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

 

 

. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya Rais (Presidential
Order) kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilikiza viongozi mbalimbali
waliokuwa wakichangia mara baada ya kusaini Amri ya Rais (Presidential Order)
kuifuta   Mamlaka ya
Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kusaini Amri ya
Rais (Presidential Order) kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio lililofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali wa
Serikali akiwemo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba
Kabudi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi kuhusu uamuzi wake wa
kuifuta   Mamlaka ya
Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kusaini Amri ya Rais
(Presidential Order) kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.

 

 

Viongozi mbalimbali wa
Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakifatilia kwa makini
Hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kutia saini Amri ya Rais
(Presidential Order) kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDADodoma ,tukio lililofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.

 

 

. Waziri wa Katiba na Sheria
akisoma Rasimu ya Amri ya Rais (Presidential Order) kabla ya Rais Dkt. John
Pombe Magufuli kuisaini ili kuifuta, Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi wakifatilia
kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji
Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam

 

 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza katika kikao hicho.

 

 

Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan akizungumza katika kikao hicho.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Mhandisi John Kijazi, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Katiba
na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri mkuu, Kazi,
Vijana na Ajira Anthony Mavunde pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoani Dodoma Adam
Kimbisa mara baada ya kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa
CDA Eng. Paskasi Muragili mara baada ya kuifuta mamlaka hiyo Ikulu jijini Dar
es Salaam. PICHA NA IKULU

 


TAG


Leave a Reply

Your email address will not be published.