HATUPIMI BANDO SIE


KUSIKILIZA EFM 93.7 BONYEZA HAPA

EFM
young-man-marries-old-woman

SARAKASI ZA WAZAZI WA KIBONGO NA BINTI ZAO:

young-man-marries-old-woman 

Binti akiwa na miaka 13 anaambiwa……, ‘Usicheze na wavulana ni mashetani wakubwa, na ole wako tukukute na wavulana, tukafukuza ukoo’
Akiwa na miaka 20:… ‘Kwa kweli sisi hatumpendi yule mvulana unaefuatana nae’
Akiwa na miaka 25…. ‘Vipi mama? Kimya, hujatuletea mwenzio yoyote kututambulisha’

Akiwa na miaka 28…’Wewe vipi wenzio wote wana waume zao wameolewa’

Akiwa na miaka 30…’Tumeshakuonya acha kuchagua wanaume we vipi?’

Akiwa na miaka 33:… ‘Kuna mzee mmoja kule Sumbawanga tumesikia anaweza kuondoa nuksi, twende tukupeleke’

Akiwa na miaka 38….’ Kuna Mchungaji Mabibo wanasema ukifunga wiki tu unafunguliwa’

Akiwa na miaka 40….’Hata huyo sawa tu, tufariji wazee wako tuone japo kajukuu’
Leave a Reply

Your email address will not be published.