full screen background image
img_0013

TAARIFA YA MSIBA…MZEE KUNGUBAYA HATUNAE TENA

kungubaya

Mzee Omari Kungubaya akipiga gitaa siku ya mkesha wa msiba wa Dr. Remmy Ongala

MZEE Omari Kungubaya ambaye atakumbukwa kwa wimbo wake Salam za wagonjwa, wimbo uliokuwa ukiashiria kuanza na kuisha kwa kipindi cha salamu za wagonjwa kupitia Radio Tanzania kwa miaka mingi amefariki leo mchana baada ya afya yake kuwa si nzuri kwa muda mrefu. Msiba wake uko nyumbani kwake Njeteni, Mbezi ya Kimara

Habari zaidi tutawaleteeni Mungu amlaze pema peponi
Leave a Reply

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
%d bloggers like this: