full screen background image
MMGL2229

TUIMBE WOTE NYIMBO KASHASHA YA TANCUT ALMASI ORCHESTRA

KASHASHA– Mtunzi Kyanga Songa

Bendi – TANCUT Almasi Orchestra

Waimbaji- Kyanga Songa

Kasaloo Kyanga, Mohamed Shaweji, Hashim kasanga

Solo: Shaaban Yohana  Wanted

Rythm: John Kitime

Second Solo: Mohamed Ikunji

Bass; Amani Ngenzi

Drums: Kejeli Mfaume

 

Chorus

Kashasha baba x2

Ohh wangu wa moyo baba

Oh wangu wa maisha baba

Mzazi mwenzangu baba,

Nisikilize mwenzio naumia

 

Verse-Kyanga

Mume wangu baba watoto wangu eh Kashasha

Tumetoka mbali mimi na wewe baba

Tumefika mbali mimi na wewe baba

Yanini kunitesa hivi mwenzio Kashasha

 

Chorus

Kashasha baba x2

Ohh wangu wa moyo baba

Oh wangu wa maisha baba

Mzazi mwenzangu baba,

Nisikilize mwenzio naumia

 

Verse-Kasaloo

Ni mwaka wa tatu sasa nyumbani huonekani

Toka umepata uhamisho kwenda Iringa

Watoto wetu wanakuwa ombaomba

Mimi mkeo naanza kuhangaika

Nyumba pia tumefukuzwa baba

Mimi mkeo naanza kuhangaika

Mara huku mara kule Kashasha

Yote hiyo sababu ya mateso baba

 

Chorus

Kashasha baba x2

Ohh wangu wa moyo baba

Oh wangu wa maisha baba

Mzazi mwenzangu baba,

Nisikilize mwenzio naumia

 

Verse- Kyanga

Mume wangu baba watoto wangu eh Kashasha

Tumetoka mbali mimi na wewe baba

Tumefika mbali mimi na wewe baba

Kwanini kunitesa hivi mwenzio naumia

Chorus

Kashasha baba x2

Ohh wangu wa moyo baba

Oh wangu wa maisha baba

Mzazi mwenzangu baba,

Nisikilize mwenzio naumia

 

 

Verse-Kasaloo

Ni mwaka wa tatu sasa nyumbani huonekani

Toka umepata uhamisho kwenda Iringa baba

Watoto wetu wanakuwa ombaomba

Nyumba pia tumefukuzwa baba

Mimi mkeo naanza kuhangaika

Mara huku mara kule Kashasha

Yote hiyo sababu ya mateso baba

 

Chorus

Kashasha baba x2

Ohh wangu wa moyo baba

Oh wangu wa maisha baba

Mzazi mwenzangu baba,

Nisikilize mwenzio naumia

 

 
Leave a Reply

Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
%d bloggers like this: